Mashabiki wameobwa kujitokeza kwa wingi katika mashindano ya mchezo wa tenisi kwa watoto yanayotarajia kuanza Decemba 26 mwaka huu katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Kocha wa mchezo huo Ismail Omary amesema kuwa maandalizi ya mashindano hayo na kinachosubiriwa ni kipute kianze.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment