
Bingwa wa Afrika mashariki na kati Mada Maugo (King Maugo Junior) kuondoka kesho kwenda Mjini Miunic nchini Ujerumani kupambana na Nocovic Radino pambano litakalofanyika Decemba 24 mwaka huu nchini humo.
Maugo amesema amejiandaa vizuri na anaelewa alichofundishwa na Kocha wake Mkenya Joseph Milumo kutoka nchini.
No comments :
Post a Comment