Waziri wa habari Utamaduni na michezo George Huruma Mkuchika ameipongeza Kamati ya Olimpic kwa jitihada zake za kuhakisha Tanzania inashiriki katika michuano ya Jumuiya ya Madola Oktoba mwakani Mjini Delh nchini India.
Mkuchika ameyasema hayo wakati wa mapokezi ya kifimbo cha malkia wa Pili wa Uingereza.
Mkuchika amesema kutoakana na heshima kubwa iliyoipata Tanzania kwa kukimbiza kifimbo hicho kwa misimu minne mfululizo na hivyo ana iamani kwamba itakuwa changamoto kwa wanamichezo na kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ijayo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment