Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wakifanya mazoezi katika uwanja wa karume jijini Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Ivory Cost utakaopigwa hapo Januari 4 katika uwanja wa Taifa.
Mwenye mpira ni mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya Vancouver Whitecaps ya nchini Canada, NIzar KhalfANI.
Timu ya taifa ya Ivory Cost inatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi ambapo itacheza michezo miwili, mchezao wa kwanza itacheza na Taifa Stars Januari 4 na mchezo wa pili itacheza na timu ya taifa ya Rwanda Januari 7.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment