
Timu ya African Lyon inatarajia kuwapumzisha wachezejani wake kwa siku tatu kuanzia Decemba 23 hadi 26 kupisha Sikukuu ya X-MASS kabla ya kuendelea na kambi hiyo maeneo ya Bamba Beach Kigamboni.
Afisa Habari wa Timu hiyo Kambi Mbwana amesema dhumuni la kuwapa mapumziko wachezaji wao ni kuwapa fursa ya kukaa na familia zao kwa kipindi kifupi cha Sikukuu.
No comments :
Post a Comment