Mcheza karate Steven Bella ameibuka kinara wa mashindano ya mchezo huo yaliyofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es Salaam.
Bella ameibuka kinara kwa upande wa kata na kunyanyuka na medali ya dhahabu, ushindi mwingine umekwenda kwa Mohamed Utulivu medali ya fedha huku Swalehe Mwatika medali ya shaba .
Na kwa upande wa komite ushindi umeenda kwa Ayub Suleimani medali ya dhahabu, Eddy Kidevu medali ya fedha wakati Akida Salum akinyakuwa medali ya Shaba.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment