Mwandishi wa habari Bi.Salama Ahmad (kushoto) Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bw.Mrisho Milao na meneja wa bia ya Safari Lager Bw. Fimbo Butallah wakichanganya bahasha zenye vizibo vya bia hiyo Dar es salaam, kwa ajili ya kumpata mshindi wa promosheni ya 'Chagua zawadi yako' iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). (Picha na Rajabu Mhamila)
Na Rajabu Mhamila
SAFARI LAGER WAPATA WASHINDI atimae ile droo ya 'Chagua Zawadi yako' iliyokuwa ikiendeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari lager wamepata washindi katika kanda zilizokuwa zinashindania zawadi hizo
Aidha Kanda ya Dar es salaam mshindi ni Jonson Rugumani, ambaye alichagua zawadi ya Mtaji wa bar na kujishindia zawadi hiyo ilipochezeshwa Droo juzi kwa upande wa mbea alieshinda zawadi ni Elius Edward ambae alichagua zawadi ya tractor
Mwanza mshindi ni Lenard Paul aliechagua mtaji wa bar na kujishindia zawadi hiyo Arusha, Denis Mushi aliechagua Tractor aidha kwa upande wa Dar es salaam zoezi ilo lilikuwa linasimamiwa na Mkaguzi toka michezo ya kubahatisha Bw.Mrisho Milao pamoja na Meneja wa Bia ya Safari Lager Bw. Fimbo Butallah
Akizungumza na waandishi wa habari juzi Fimbo amesema zawadi zote kwa kila mshindi thamani yake ni shilingi milioni kumi kwa kila mshindi mbali na hivyo pia katika shindano ilo watu walikuwa nanajishindia bia za bule pesa tasilimu za shilingi 1000 au 5000 kadri utakavyo bahatika alisema fimbo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment