Gazeti huru la kila siku gazeti la Majira leo limeadhimisha miaka 16 tangu kuzaliwa kwa gazeti hilo.
Gazeti la Majira lilitoka kwa mara ya kwanza mtaani siku ya Jumatatu tarehe 27 mwaka 1993, kama linavyoonekana hapo juu pichani.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment