
Huyu ni J-Martin akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa UHURU WA KUONGEA katika jengo jipya la Zain, kiukweli jukwaa lilipendeza sana, watu nyomi, full kujiachia na ZAIN

Hapa Brother J-Martin akikamua kitu cha OYOYO wacha Bwana

Kama vipi tucheze pamoja jamani.....

Chidi Benzi kutoka Ilala aliwakilisha vema kwa upande wa wasanii wa Tanzania, jambo la kupongezwa ni kuweza kupiga bonge la shoo akiwa na bendi yake LIVE.

Dar es Salaam Stand up, put yo hands up heya heee Dar es Salaam Stand up put yo hands up chichichichi chidi Benziii yoooooo

Sumu ya penzi ukishailambaa hata kwa maziwa huwezi kukuna" ndivyo anavyoimba Belle 9 wakati wa uzinduzi wa UHURU WA KUONGEA wa ZAIN.
No comments :
Post a Comment