Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, April 3, 2011

BENKI YA BARCLAYS YATOA MSAADA WA SH.MILIONI 3.5 KWA YATIMA, YAWAPA MAFUNZO YA ELIMU FEDHA



Ofisa Uhusiano wa Benki ya Baclays Tanzania, Moni Msemo, akiendesha mafunzo ya Elimu Fedha kwa watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu wanaolelewa katika Kituo cha Friends Of Don Bosco kilichopo Kimara Dar es Salaam, wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipofika kituoni hao leo mchana pamoja na kutoa mafunzo hayo na kukabidhi hundi ya Sh. milioni 3.5 kwa ajili ya kuwalipia ada wanafunzi wa shule za Sekondari wanaolelewa na kituo hicho.
Mkurugenzi wa Mkopo Binafsi wa Benki ya Barclays Tanzania, Musa Kitoi (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 3.5 Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete, Ndahani Mwenda, aliyepokea kwa niaba ya wenzake kwa ajili ya kulipia ada za shule watoto hao Yatima na waishio katika Mazingira magumu, wanaolelewa katika Kituo cha Friends of Don Bosco kilichpo Kimara Dar es Salaam. Makabidhiano hayo yalifanyika kituoni hapo leo chana wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipofika kutoa mafunzo ya Elimu Fedha kwa watoto hao. Viongozi wa Benki ya Barclays, wakisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kituoni hapo leo.
Wasanii ambao ni wanafunzi wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Yatima na wale waishio katika Mazingira magumu cha Friends Of Don Bosco, John Msuha, anayesoma Mwaka wa pili Chuo cha Mzumbe, kutoka (kushoto nyumba yake) ni Aurelia Kiwone, Selina Flujens na Janny Maridadi, wakiimba kutoa burudani wakati wa hafla hiyo

No comments :

Post a Comment