Baadhi ya Warembo watakaowania taji la miss Kilimanjaro wakiwa katika pozi, Dar es salaam jana kabla ya kwenda kuweka kambi rasmi itakayoanza mwanzoni mwa mwezi ujao mkoani Kilimanjaro. kutoka kushoto ni Catherine Edwin,Diana Lymo na Jackline John
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment