Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bakari Kiswara (kulia) na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi 'TUCTA' Bw.Nicholaus Mgaya wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu aliyekua Katibu Mkuu wa (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira kabla ya kumuaga TAZARA Dar es salaam
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment