Pichani ni Mtoto Princess Asia 'Checha' leo anatimiza miaka minne ya kuzaliwa. Anawasalimu mama yake Dina Ismail mwendeshaji wa Blog ya Mamapipiro.blogspot.com, Baba yake Prince Mahmoud Zubeir.Pia anamsalimu Dada yake Precious na mdogo wake Prince Akbar wote wakiwa Kinondoni Dar es Salaam. Babu na Bibi Checha wanaoishi Tabata, mwisho awawasalimu Aunt Ankal Abbas,Aunt zake Amina na Miski.Mwendeshaji wa Blogu hii nakupongeza Baby Checha pia nakuombe kwa mungu akujaalie umri mkubwa na undelee kuwa mtoto mtiifu kwa wazazi wakubwa na wadogo pia endelea na moyo huohuo wa kupenda shule
No comments :
Post a Comment