Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, April 7, 2011

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda(kushoto) akisalimiana na mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana baada ya kuzungumza na maofisa habari, Elimu na Mawasiliano wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Mikoa na wakala mjini Dodoma leo .Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Clement Mshana nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Spikawa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa Habari,Elimu na Mawasiliano wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali na wakala wa Serikali nje ya Ukumbi wa Pius Msekwa baada ya kumalizika kwa mazungumzo. Viongozi wengine ni Naibu waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangara (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana(wa tano kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari,Uhusiano na Elimu kwa Umma Bungeni Jossey Mwakasyuka (wapili kutoka kushoto).Picha Zote na Aron Msigwa-MAELEZO

No comments :

Post a Comment