Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (wa pili kushoto) akipeana mkono na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Zanzibar, Mwanaidi Abdallah, wakati wa makabidhiano ya madawati 100 yenye thamani ya sh. milioni 10 kutoka Vodacom Foundation kwa ajili ya shule ya msingi ya Darajani mjini Unguja leo.Kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo, Kassim Mvita.Picha na Martin Kabemba. Wanafunzi wa shule ya msingi ya Darajani mjini Zanzibar, Zainabu Noor (kulia) na Suhaila Suleiman, wakisoma utenzi wakati wa hafla fupi ya kukabidhi madawati hayo
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment