Katibu Mkuu wa African Union People's Empowerment Fondition, Bw.Mgesi Juma (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana, kuusu vifo vya akina mama wajawazito kuwa vinaweza fasiliwa kuwa ni vifo vitokanavyo na ujauzito. kulia ni Ofisa Habari wa Tume ya Kikristu ya Huduma za Jamii Bw.Renatusi Sona
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment