Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda, akitangaza udhamini wa SBL wa Sh. miliono 80, kwa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za mwanamichezo bora wa mwaka, Dar es Salaam. Akizungumzia sherehe hiyo, Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto (wapili kushoto) alisema zitafanyika Mei 6, mwaka huu katika jijini, na mshindi wa kwanza atajitwalia gari lenye thamani ya sh. milioni 13. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando, Mjumbe wa TASWA, Masoud Sanani na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TASWA, Maulid Kitenge. http://richard-mwaikenda.blogspot.com/
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment