Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, October 14, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MAKAO YA WATOTO YATIMA, MSONGOLA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuzindua jiwe la msingi la Kituo cha kulelea watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Hafla hiyo ya uzinduzi wa kituo hicho ulifanyika leo Oktoba 13, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kituo cha kulelea watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 13, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya watoto wakitoa burudani ya kuigiza maisha ya watoto waishio katika mazingira magumu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaan leo Oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola wilaya ya Ilala, baadha ya kuzinduliwa kwa kituo hicho leo Oktob

No comments :

Post a Comment