Mnenguaji wa bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta' Lilian Internet, (kushoto), akiwaeleza waandishi jinsi walivyojiandaa na Twanga Festival Novemba 6, mwaka huu pale Maisha Club, usikose mtu wangu. Katikati Mkurugenzi wa African Stars Band, Asha Baraka na kiongozi wa bendi hiyo, Luiza Mbutu. Foto: Victor Mkumbo.
Kiongozi wa The African Stars 'Twanga Pepeta', Luiza Mbutu, (kulia), Mkurugenzi wake, Asha Baraka na Lilian Tungaraza 'Lilian Internet.
Vionjo vya wanenguaji wa Twanga Pepeta, zaidi utakuwa ukivipata pale Mango Garden Kinondoni kila Jumamosi na Jumapili kule Leaders Club, Kinondoni, kabla ya tamasha la Twanga Festival Novemba 6, mwaka huu katika mjengo wa Maisha Clu
No comments :
Post a Comment