Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, October 27, 2011

Maonyesho ya Wizara ya Fedha mnazi mmoja


Baadhi ya wananchi wa Jiji la Dar es alaam waliohudhuria maadhimisho ya Wizara ya Fedha ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara wakifuatilia jana (leo) kwa makini burudani kutoka kikundi cha Sarakasi cha Mama Afrika cha Wilayani Kinondoni kilichoshiriki katika maadhimisho hayo katika Viwanja vya Mnazi mmoja.
Maafisa wa Tanzania Investment Benk wakiwaelimisha baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana katika Viwanja vya Mnazi mmoja juu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo katika kuleta maendeleo nchini.
Afisa Michango (Compliance Officer) wa Mfuko wa Pesheni wa PPF Jacob Sulle akitoa maelezo mbalimbali juu ya faida za fao la Elimu kwa baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana katika Viwanja vya Mnazi mmoja .
Vijana vya kikundi cha sarakasi cha Mama Afrika cha wilayani Kinondoni wakionyesha ufundi wao katika mchezo huo jana jijini Dar es salaam wakati wa maonyesho ya Wizara ya Fedha za kuadhimisha miaka 50 Uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam
Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akiwaelimisha baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana katika Viwanja vya Mnazi mmoja juu taratibu za upatikanaji na ubadilishaji wa leseni za zamani ili kupata mpya.
Afisa wa Benki ya Posta wakiwaelimisha baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana katika Viwanja vya Mnazi mmoja juu huduma mpya ya Benki ya matumizi ya simu ya mkononi kwa huduma za kibenki .

No comments :

Post a Comment