Bondia Said Mbelwa kulia akimkabizi kikombe cha ushindi bondia Abdul Kessy wakati wa mashinano ya mchezo uho uliofanyika katika ukumbi wa bluu star gongolamboto dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Refarii Said Chaku katikati akiwanyoosha mkono juu mabonia wa kike waliojitokeza kusapoti mchezo huo |
ngumi zikipigwa vilivyo wakati wa mpambano uho |
mapambano ya utangulizi yakiendelea |
Refarii Said Chaku akikata mpambano baada ya bondia mmoja kupigwa upcut na kudondoka chini kushindwa kuendelea na mpambano |
Bondia Ane Julius kushoto na Abdul Kessy wakishambuliana kwa zamu wakati wa mchezo huo uliofanyika gongolamboto mwishoni mwa wiki iliyopita kessy alishinda kwa TKO ya raund ya tano picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Mada Maugo akimkabizi tuzo bondia Ane Julias baada ya kupigwa na Abdul Kessy kushoto anaeshudia na Said Mbelwa |
Bondia Ane Julius kushoto na Abdul Kessy wakishambuliana kwa zamu wakati wa mchezo huo uliofanyika gongolamboto mwishoni mwa wiki iliyopita kessy alishinda kwa TKO ya raund ya tano picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments :
Post a Comment