Picha
juu na chini ni Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi nchini wakiangalia
baadhi ya vipeperushi na majarida mbalimbali ya Umoja wa Mataifa kuhusu
katika Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa lililopo Karume Hall kwenye
maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika uwanja wa
Mwalimu Nyerere uliopo barabara ya Kilwa wilayani Temeke jijini Dar es
Salaam. Na Kauli mbiu ya Mwaka huu ya Umoja wa Mataifa katika maonyesho
haya ni "Kufanya kazi kwa pamoja na Watoto, Vijana na Wanawake".
Unaweza Ku-like page yao hapa na kupata habari zaidi.
Afisa
Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce Temu akitoa maelezo kwa
baadhi ya maaskari wa jeshi la polisi kuhusu kazi mbalimbali
zinazofanywa na Taasisi za Umoja wa Mataifa hapaTanzania.
No comments :
Post a Comment