Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammmed Gharib Bilal, akifunga Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa Kimataifa wenye lengo la kutokomeza njaa Barani Afrika .Mkutano huo ulimazika jana jioni mjini Addis Ababa Ethiopia.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kimataifa kuzungumzi juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika uliomalizika mjini Addis Ababa Ethiopia.
Ujumbe
wa Tanzania uliofuatana na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakifuatilia kwa makini mkutano wa Afrika uliozungumzia juu ya
kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika . Mkutano huo ulimalizika jana jioni mjini Addis Ababa Ethiopia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa pili kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa
Viongozi wa kimataifa waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa AUC Dk. Nkosazana Dlamina
Zuma, kwenye ukumbi wa Mikutano wa umoja huo baada ya kumalizika kwa
Mkutano wa Viongozi wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo
la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia jana jioni. Picha na OMR
No comments :
Post a Comment