Sheikh wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Sheikh Alhad Mussa Salum, akishirikiana
na Shia Ithnaashar Jamaat, wanapenda kuwaalika wote, katika
kushuhudia Miujiza ya Qur’an ya kijana HAFIZ MOHAMMED TAQI KHAN toka Pakistan,
aliehifadhi Qur’an kwa njia 51 tofauti za ajabu na
za kuvutia, pia ana uwezo wa
kuhusisha Aya na maudhui mbalimbali za kisiasa na kijamii, pia ana uwezo wa
kuisoma sura kuanzia chini kuja
juu n.k.
Ni siku ya Jumamosi tar 6
Julai,2013
Viwanja vya Mwembeyanga,
Tandika
Saa 9.00 Alasiri mpaka saa 12.00 Jioni
“KARIBUNI SANA”
No comments :
Post a Comment