Huyuuuuuuuuuu,
ndiye Ibama, Rais wa Marekani, Barack Obama, akipiga danadana za kichwa
wakati alipowasili kwenye mitambo ya kuzaliza umeme ya Ubungo jijini
Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuizindua ramsi mitambo hiyo
ikiwa ni sehemu ya kumalizia ziara yake ya siku mbili kabala ya kuondoka
nchini leo.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
13 hours ago
No comments :
Post a Comment