OMARI KIMWERI KUGOMBANIA UBINGWA WA DUNIA WA WBC KWA MARA YA KWANZA MTANZANIA
omari Kimweri |
Mpambano huo utakaopigwa nchi ya China November 30 na bingwa wa dunia wa uzito huo nchini china
xiong zhao zhong ni bingwa wa dunia WBC minimum weight ambaye anashikilia taji hilo kwa sasa katika uzito huo
Kimweri anakuwa
mtanzania wa kwanza kuwania taji kubwa kabisa Duniani akitokea nchini
Austalia uku sapoti kubwa akitegemea kutoka Tanzani ambapo alipo zaliwa
na kigezo cha kufanya
apate pambano hilo kubwa ni kutokana na rekodi yake pamoja na kutakiwa
mtu ambaye anatokea bara la Afrika ambapo kula imemdondokea bondia Omari
Kimweri kwa mara ya kwanza mtanzania huyo ataonekana Dunia nzima
akijaribu kuwania ubingwa wa WBC
No comments :
Post a Comment