Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni
mwa wawekezaji 25 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya
nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege
la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini
Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr.
Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya
Tanzania Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiongozana na kiongozi
wa wawekezaji hao Bw. Malin kushoto ni Bw Hassan mmoja wa waratibu wa
ujio wa wawekezaji hao. Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji
hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia. Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akifafanua jambo kwa wawekezaji hao Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akihojiwa na waandishi
wa habari kutoka kituo cha ITV ambao walifika katika mapokezi hayo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE- JKN AIRPORT
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment