MKURUGENZI
wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),
Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa
inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam.
TMA YAHIMIZWA KUENDELEA KUSHIRIKISHA WADAU ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA
MABADILIKO YA HALI YA HEWA
-
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehimizwa kuendelea kushirikisha
wadau kutoka sekta mbalimbali ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya
hali ya...
2 hours ago
No comments :
Post a Comment