Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, January 6, 2012

BREAKING NEWS: MADAKTARI WA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI WALIOGOMA WAPEWA BARUA ZA KUTIMULIWA KAZI

Dr. Masele Lucas akizungumza wakati wa kudai madai yao ya msingi leo wamepewa barua za kutimuliwa kazi katika hospitali hiyo
Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja na leo wamepewa barua za kufukuzwa kazi wote
Dr. Flank Kagolo akimwaga cheche zake wakati wakiwa katika harakati za kuomba stahiki zao leo wametimuliwa kazi kwa kupewa barua za kufukuzwa rasmi
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili Dkt. Mariana Njelekelo (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wa Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja katika hospitari hiyo ambao waligoma baada ya kukosa mshahara wa mwenzi mmoja Dar es salaam na leo kupewa barua kwa ajili ya kufukuzwa kazi

No comments :

Post a Comment