Evance ambae anaratibu website ya www.elimubora.com akiwa anapokea cheti baada ya kuhitimu kozi fupi nchini India. Amewataka watanzania hususan wadau wa masuala ya IT kufuatilia udhamini mbalimbali wa kozi fupi utolewao na chuo hicho kwa taarifa zaidi ingia katika libeneke lake la www.elimubora.com
MBETO : HAKUNA USHURU MARA MBILI TOKA ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimebainisha kuwa hakuna kodi mara mbili
zinazotozwa kwa bidhaa kutoka Zanzibar kuna upande wa ...
2 hours ago
No comments :
Post a Comment