Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, January 27, 2012

ZANTEL YAZINDUA HUDUMA YA EZY PESA JIJINI DAR




Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Juma Reli (kushoto ) akishikana mikono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Zantel Tanzania, Ali Bin Jarsh wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels.
Ofisa biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kutoka kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Bin Jarsh, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles
Mutalemwa wakizundua huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni
Wasanii wa Tanzania House of Talent, wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni
Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles Mutalemwa, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Ali Bin Jarsh na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga.

No comments :

Post a Comment