Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, December 21, 2013

Sahel Traing Co.Ltd YAKABIHI MZANI KWA AJILI YA MABONDIA





Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally hazam kushoto akimkabidhi mzani wa kupimia uzito mabondia kwa Yassin Abdalla 'Ostadhi' mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane umetolewa na kampuni hiyo kutekeleza ahadi yao ya kusaidia mchezo wa masumbwi nchini picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

 MAZANI WA KIMATAIFA WA KUPIMIA MABONDIA AMBAPO UNA UWEZO WA KUPIMA UZITO,UREFU, NA KUTAMBUA UJAZO WA MAFUTA YAKO MWILINI YAPO KIASI GANI NA UNAITAJI  UWE NA UZANI KIASI GANI KULINGANA NA UREFU WAKO

Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally hazam kushoto akimkabidhi mzani wa kupimia uzito mabondia kwa Yassin Abdalla 'Ostadhi' mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane umetolewa na kampuni hiyo kutekeleza ahadi yao ya kusaidia mchezo wa masumbwi nchini picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya  Sahel Traing Co.Ltd kupitia kwa mkurugenzi wake Ally Hazam  wametoa mzani wa kupimia mabondia kwa kiwango cha ali ya juu kwa ajili ya kuondoa ubabaishaji wa upimaji uzito kwa mabondia

akizungumza wakati wa kukabidhi mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane  Hazam amesema wameamua kutoa mzani wakitegemea ngumi ndio mchezo pekee ambao unaweza kuretea sifa taifa kwa haraka sana

mchezo ambao unapendwa na watu wengi duniani sema hapa kwetu bado atuja usapoti sana na sisi tume onesha mfano ila tuta enderea kusapoti mchezo wa masumbwi nchini kari tuwezavyo

nae Yassini Abdalla 'Ostadhi' aliye pokea mzani huo ambao utakuwa ukitumika kwa mabondia kupima uzito ususani mapambano ya kimataifa ame shukulu kampuni hiyo kwa kutoa mzani na ni ahai ambayo walikuwa nayo mda mrefu rakini leo 'jana' ndio wameitekeleza 

siku zote dunia nzima cha kwanza kabla mabondia awajapanda ulingoni kwanza wanapima uzito afya ndio mpambano una endelea bila uzani akuna ngumi mana mnaweza kupiganisha mabondia wenye uzani tofauti kitu ambacho akikubaliki dunia nzima

hivyo sina budi kuishukuru kampuni ya Sahel Trading Co. Ltd kwa kunipatia uzani huu

No comments :

Post a Comment