Katibu
Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa
Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo
ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni
zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi
hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na
Kanuni zilizokiukwa katika filamu yake ya Mbwa Mwitu.

wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akiweka sahihi ya
kukubali kufanya marekebisho katika filamu yake pamoja na malipo ya
faini mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito
wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu
ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu yake ya Mbwa Mwitu.
Meneja
ambaye pia ni Mratibu wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Bi. Leah
Mwendamseke akiweka sahihi katika fomu maalum ya kukubali kufanya
marekebisho katika filamu iliyokaguliwa na Bodi hiyo mbele ya Katibu wa
Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni
zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.
Katibu
Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiagana na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya naye mkutano leo
ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni
zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM)
No comments :
Post a Comment