mashindano hayo yanafanyika dawe
ndege wilayani kilindoni mafia mkoa wa pwani na kudhaminiwa na diwani
wa halmashauli wilaya ya mafia, Msomi Ally Kuku yataendelea tena jumatatu kwa kuzikutanisha timu mbalimbali zilizotinga hatua ya 8 bora
RAS MKOA WA PWANI AFUNGUA MAFUNZO YA O&OD
-
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, amefungua kikao kazi cha
mafunzo ya siku mbili kwa vikosi kazi vya utekelezaji wa Mfumo wa Fursa na
Vikwaz...
17 hours ago
No comments :
Post a Comment