Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea ofisini kwake wakati
akikabidhi Vifaa mbalimbali kwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini
Ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi zake alizotoa Kipindi Akiomba kura ya Kuwa
Mbunge wa Jimbo Hilo Pamoja za Ahadi anazotoa kwenye Mfululizo wa Ziara
zake anazofanya Mara kwa mara katika Kata Mbalimbali za Jimbo la
Morogoro Mjini.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood akikabidhi Mbao kwa Viongozi
wa Msikiti kwajili ya Kumalizia ujenzi wa Msikiti ikiwa ni ahadi
aliyoitoa wakati wa ziara zake za mara kwa mara.
KILA JIWE LINA THAMANI – KERAKA
-
Geita
Mjiolojia kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mara, Godfrey
Keraka, amesema kuwa kila jiwe lina thamani kwa sababu ya mchango wake
kat...
14 minutes ago
No comments :
Post a Comment