Makamu wa Raisi Kalonzo Musyoka amepongeza jihudi za mcheza Tenis nambari moja Duniani Serena Williams wakati akifungua shule nchini Kenya.
Musyoka amesema washirika wake ambao ni wanaongoza kwa usalishaji komputa kampuni ya Hewlett-Packard (HP) na Charitable organization - Build African Schools, limeahidi licha ya kukamilika kwa ujenzi wa shule hiyo litawawezesha vifaa vya komputa ikiwa ni pamoja na maabara ya mtambo wa kompyuta kwa ajili ya kupatikana internet.
Makamu huyo wa Raisi, ambaye amemualika kuungana na mfuko wake wa Kalonzo Musyoka Foundation kwa ajili ya kuwasaidiza wanafunzi udhamini wa masomo, na kusema itaweza kumnufaisha zaidi Ms Williams hasa kufuatia katiba mpya.
Musyoka anasema Serena Williams amegusa maisha ya watu wengi wa Kenya na amefanya makubwa kwa wakenya.
Ms Williams amesema ataendelea kusaidia Kenya sit u kufungua na kutoa misaada mashuleni lakini pia kujenga na kuwezesha vifaa vya Kompyuta ikiwa ni pamoja na nchi zingeni barani Afrika.
Ms Williams amefungua shule ya Wee Secondary School iliyopo Matiliku wilaya ya Makueni.
RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ATOA POLE AJALI YA KARIAKOO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa
Kariakoo Jij...
6 days ago
Maximo,tunashukuru kwa kutujuza mambo mengi ya viwanjani,lakini naomba muwe up to date bwana,mambo mengi hapa naona ni ya zamaani,msimamo wa ligi huo umepitwa na wakati,hiyo nani kutwaa ubingwa wa tusker ndo inatia kichefu chefu zaidi,jitahidi kuupdate Blog yako kila baada ya muda ndugu.asante.
ReplyDelete