Bondia Mada Maugo alivyofulia kwa maneno Oswad Mtambo wa Gongo.
Bondia Maneno Osward akichuwana vikari na mpinzani wake Mada Mahugo wakati wa pambono la kirafiki lililofanyika Dar es salaam Maneno alishinda kwa pointi.(Picha na Rajabu Mhamila)
Bondia Mada Mahugo (kushoto) akilusha konde bila mafanikio kwa mpinzani wake Maneno Osward wakati wa pambano lao lililofanyika DAr es salaam Maneno alishinda kwa point.(Picha na Rajabu Mhamila)
Bondia Anton Mathias kulia akitupa konde wakati wa mchezo wake na Nasabu Ramadhani lililofanyika Dar es salaam Nasibu arishinda kwa Point.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments :
Post a Comment