Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, April 26, 2012

COCACOLA YAZINDUA KAMPENI YA SABABU BILIONI ZA KUITHAMINI AFRIKA


)Katibu mkuu wa kamati ya Olimpiki Tanzania Bw. Filbert Bayi akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya sababu bilioni za kulithamini bara la Africa iliyoandaliwa na Kampuni ya Cocacola ambapo Bayi alisema kuwa kuna haja ya watanzania kuonyesha uzalendo wa nchi yao na kuithamini Africa, Uzinduzi huo umefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City uliopo jiini Dar es Salaam.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Meneja mkazi wa masoko kampuni ya Cocacola Bw. Dimej Olaniyan akifafanua kuhusu kampeni hiyo ambapo alisema kuwa kampeni hiyo itadumu kwa miaka miwili na inalengo la kuinua yale mazuri yanayo onekana katika bara la Afrika.
Meneja wa masoko kampuni ya Cocacola Bi.Salome Mabirizi akielezea muhimu wa kuwa na Kampeni hiyo.
Katibu mkuu wa kamati ya Olimpiki Tanzania Bw. Filbert Bayi Pamoja na)Meneja mkazi wa masoko kampuni ya Cocacola Bw. Dimej Olaniyan wakipata kiburuisho cha soda ya Coca cola.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika kampeni hiyo.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka katika Gazeti la Mwananchi (katikati) Nora Damian aliyejinyakulia zawadi ya Televisheni akikabidhiwa zawadi yake na Meneja mkazi wa masoko kampuni ya Cocacola Bw. Dimej Olaniyan (kulia) kushoto ni Katibu mkuu wa kamati ya Olimpiki Tanzania Bw. Filbert Bayi.
Baadhi ya wadau kutoka Kampuni ya Cocacola wakiwa katika pozi.

No comments :

Post a Comment