Mabondia wa Kambi ya Ilala wakifanya Mazoezi ya Kichura chara kwa ajili ya kutafuta stamina na nguvu Mazoezi hayo yaliyokua yakitolewa na Kocha wa Kimataifa wa Mchazo wa Ngumi. Rajabu Mhamila 'Super D' kwa ajili ya kujiaandaa na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika May 4 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es salaam.Picha na www.superdboxingcoac.blogspot.com
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment