Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, February 21, 2011

AZAMU YAONGOZA LIGI KWA MDA BAADA YA KUIDUNGUA JKT RUVU 2.0

*AZAM KUZIPIKU YANGA NA SIMBA? YAICHAPA JKT RUVU 2-0

Mrisho Ngasa wa Azam Fc (kulia) akijaribu kuuwahi mpira ili kupiga krosi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baina yao na JKT Ruvu uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Azam imeshinda mabao 2-0. Kwa ushindi huo sasa Azama imefikisha jumla ya Pointi 35 sawa na Yanga, ambapo Azam inasaidiwa na magoli mengi ya kufunga na machache ya kufungwa, na Simba ikishikilia nafasi ya tatu ikiwa na Point 34. Kati ya Yanga Azam na Simba ni timu ipi itachukua ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu? wote tusubiri kuona hadi mwisho wa Ligi

No comments :

Post a Comment