Mama wa msani Wema Sepetu Mariam Sepetu, kulia ameibuka na kuseka kuwa
yupo tayali kupanda mahakamani pindi popote magazeti ya Udaku yatakapo
mwandika Wema akizungumza na Kipindi cha Take One cha Clous TV ameweka
wazi kuwa yupo tayari wakati wowote kupelekana Mahakama pindi gazeti
lolote litakalo mtoa Weka katika mambo mabaya na amesisitiza kuwa jamii
impende mwanae na kuwambia watu wa magazeti ya Udaku kuwa wamuache
mwanae kwa lolote lile juu ya mwanae na kumtaja mmoja wa waandishi wa
habari wa Global akimtaja Shakolo na kusema magazeti yote yanafanya
biashara kupitia mgongoni wa mwanae wema ambapo amedai kula nao saani
mojapindi watakapotoa picha za mwanae katika kurasa za mbele za magazeti
yakiuza kupitia yeye mtoto wake
CATHERINE KATELE ATETEA KITI CHA MWENYEKITI WA TUGHE MKOA WA PWANI KWA KURA
33
-
Na Victor Masangu, Pwani
Hatimaye Chama cha wafanyakazi wa serikali na afya (TUGHE) Mkoa wa Pwani
kimefanya uchaguzi wake mkuu na kuweza kumchangua kwa ...
11 hours ago
No comments :
Post a Comment