Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, June 22, 2012

MWILI WA MAREHEMU WILLY EDWARD WAWASILI MUGUMU SARENGETI KWA MAZISHI



Jeneza lenye mwili wa marehemu Willy Edward likiingizwa ndani baada ya kuwasili nyumbani kwao Mugumu, wilayani Seerengeti jana  usiku PICHA NAKAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mdogo wa marehemu Willy Edward (kushoto) akilia huku akilakiwa na ndugu yake baada ya mwili wa marehemu Willy Edward kuwasili nyumbani kwao
Baba mkubwa wa marehemu Willy Edward, Emmanuel Ongiri, akilia kwa uchungu huku akiwa amelalia jeneza lenye mwili wa mwanawe ulipowasili nyumbani kwao Mugumu, Serengeti usiku
Baadhi ndugu wa marehemu Willy Edward wakiangua kilio baada mwili kuwasili nyumbani kwao Mugumu, Serenget picha zaidi tembelea http://www.fullshangweblog.com/
You might also like:

No comments :

Post a Comment