| Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward mda mfupi kabla ya maziko nyumbani kwa marehemu Molotongo, Mugumu, Serengeti |
| Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacquline Liana akitoa heshima za mwisho |
| Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Willy Edward |
| Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Absalom Kibanda akiwaongoza wahariri kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mhariri mwenzao marehemu Willy Rdward |
| Mjane wa marehemu Willy Edward, Rehema, akimbusu mumewe alipokuwa akiaga muda mfupi kabla ya mazishi |
No comments :
Post a Comment