| Shangwe za kufa mtu ziliibuka baada ya baadhi ya wasanii wachanga kukonga nyoyo za mashabiki hao. |
| Mambo ya vidole juu 'mambo ya pwani' nayo yalikuwepo wadada wakashindana kuvunja nyonga. |
| Hapa ndo fainali otea mshindi, ninani? |
| Na huyu ndiye aliyeibuka kidedea na kupigiwa mayowe na shangwe. |
| Mr.Nice aliibuka mbele ya mashabiki huku akipewa nguvu na Dogo poteza mpya kabisa kwenye fani ambapo alikonga nyoyo za mashabiki, hassa kwa swaga zake za ukweli. |
| Mr. Nice akiwashukuru mashabiki kwa kumrejesha tena kwenye fani. |
| Hapa Mr. Nice akiwapigia magoti mashabiki na kuwaomba wampokee tena wasimpotezee. |
SASA SHUHUDIA SWAGA ZA DOGO ALIYE IBUKA KWENYE TAMASHA LA TIGO JANA, LEO ATAPANDA TENA JUKWAANI HAPOHAPO COCO BEACH.
| H.Baba naye aliendeleza makamuzi baada ya kufanya kazi hiyo miezi kadhaa mikoani. |
| Freee Staili Zipoooooooooooo! |
| Sema Eeeeeeeeeeeeeee Eeeeeeeeeeee. |
No comments :
Post a Comment