Mbunifu wa mavazi wa kimataifa nchini Afrika Kusini, David Tlale akiwa na Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania, Millen Magesa wakipita jukwaani stejini mara baada ya kuonesha ya kuonesha mavazi yake katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week, lililofanyika kwenye Stehsni ya Treni ya Ravos ya Mjini Tshwane, Pretoria, Afrika Kusini hivi karibuni
TAFF YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI
-
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (Taff) limezikabidhi
zawadi kwa timu zilizofanya vizuri katika mashindano ya soka yaliyofanyika
Azam ...
1 hour ago
No comments :
Post a Comment