![]() |
| Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete (mwenye miwani ) akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Matibabu ya Fistula Tanzania Juni 15-2012 jijini Dar es Salaam, wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CCBRT Dk. Wilbroud Slaa,(kulia) ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa DSM ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO). |
OJA , JOWUTA KUANDAA KONGAMANO LAKIMATAIFA
-
Dar es Salaam
Ujumbe maalum kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Ufalme wa Oman (OJA),
uliopo nchini leo Agosti 19, 2026 umefanya mazungumzo na Cha...
9 hours ago


No comments :
Post a Comment