Baazi ya wananchi wakifatiria burudani za bure katika uwanja wa wazi
toka kampuni ya Tigo iliwapatia wateja burudani kutoka kwa mwanamuzik
H.Baba.
Pia wateja walipata fursa ya kupata huduma mbalimbali kutoka kwenye
vibanda vya Tigo vilivyopatikana viwanjani hapo. Zawadi kama T-shirt za
Tigo, simu na kofia zilitolewa katika tamasha hilo.
Msanii H Baba akiwashindanisha watoto kucheza kiduku ambapo mshindi arimpatia furana ya tigo
NGORONGORO HAKUNA KULALA SABASABA.
-
Tukio la Ngorongoro kuonesha vivutio vya utalii mubashara kupitia runings
kubwa iliyofungwa katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii
limevutia wana...
2 hours ago
No comments :
Post a Comment