Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, June 12, 2012

WAREMBO WA MISS DAR INTERCOLLEGE 2012 WATEMBELEA DUKA LA SHEAR ILLUSIONS MLIMANI CITY, DAR



 Baadhi ya Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja kwa warembo.
 Mmoja ya wafanyakazi wa duka la Shear Illusions la Mlimani City jijini Dar akitoa maelezo kwa warembo wa Miss Dar InterCollege.
 Warembo wakiwa katika nyuso za furaha.
 Mfanyakazi wa dula la Shear Illusions akiwapa maelezo ya namna ya kutumia vipodozi mbali mbali.
 Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiangalia bidhaa mbali mbali zinazopatikana kwenye duka hilo.
 Mrembo wa Miss Dar InterCollege akivalishwa saa.
Warembo wa Miss Dar InterCollege wakigawiwa zawadi na mwalimu wao Marlydia Boniface (wa kwanza kulia) ambazo walipewa mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions ambao ni wadhamini wa shindano hilo.

No comments :

Post a Comment