Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, June 12, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO


Waziri Mkuu, Mizengo pinda  akizungumza na  Mbunge wa Viti Maalum  Pauline Gekul na watoto wake Irene (kushoto)  na Inocentia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu) (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma  Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge waKuteuliwa Saada  Mkuya  Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa (kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu  Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini  Dodoma  Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter  Mwijarubi Muhongo akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment