Mkurugenzi Idara ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira ya Baraza la
Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Ignace Mchallo (kushoto)
akimpongeza Leonard Gastory Lugali, akiyeibuka mshindi wa kwanza wa
shindano kuhusu mazingira lililopewa jina la‘Quarry Life Award’
lililokuwa likiendeshwa na Kampuni ya Saruji yaTanzania Portland
Cement (Twiga) na kupewa zawadi ya EURO 5000 katika hafla iliyofanyika kiwandani hapo, Dar es Salaam jana. Mshindi wa pili alipewa EURO 5000
na wa tatu aliondoka na 1500. Wengine pichani washindi, majaji wa
shindano na maofisa wa TPCC.
RC KUNENGE AWASILI MKOANI SONGWE
-
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Abubakar Mussa Kunenge, amewasili rasmi
Mkoani Songwe leo, tarehe 03 Septemba 2026, kufuatia uhamisho wake
uliofanywa na R...
2 days ago

No comments :
Post a Comment